Search This Blog

SportsRaw

SportsRaw

Wednesday, 2 November 2016

Juma Abdul majanga

Hii si taarifa nzuri kwa kuwa, beki wa Yanga, Juma Abdul anaweza asionekane kwenye michezo ya Ligi Kuu Bara mpaka Januari, mwakani kutokana na majeraha ya nyonga yanayomsumbua kwa sasa...

Man city, Arsenal zaua

Pep Guardiola amekaribisha mchezaji mwenzake wa zamani wa Barcelona Luis Enrique  kwenye uwanja wa Etuhad jijin Manchester katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya Manchester City walikuwa wenyeji wakiwakaribisha vijana wa Catalunya Barcelona kwenye mchezo wa kundi C  na kufanikiwa kuwalaza kwa magoli 3-1 jana usiku. Man city waliingia wakiwa na kumbukumbu ya kichapo cha magoli 4-0 walichapata Nou camp, Barc walionekana kuanza vizuri...