Search This Blog

SportsRaw

SportsRaw

Thursday, 13 October 2016

Mixer ya mamilioni kutua ndani ya" Wasafi Record"

Mkali wa wimbo ‘Salome’ Diamond Platnumz  chibu amesema ameagiza mixer kubwa nje ya nchi ili kuboresha studio ya ‘Wasafi Records’ ambayo tayari imeshaanza kushafanya hits kadhaa ambazo zinafanya vizuri katika chati mbalimbali za muziki nchini na nje ya nchi


Image result for diamond platnumz
Diamond Platnumz
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano na Mazingira, January Makamba alitembelea  ofisi za msanii huyo  Chibu alitumia nafasi hiyo kumweleza mheshiwa  makamba mipango mbalimbali  ambayo ataifa ili kuboresha ofisi hiyo.

Kwa sasa tunasubiri mixer ifike kwa sababu tuliambiwa hatuwezi kuichukua dukani mpaka tutoe order wakutengenezee,” Diamond alimwambia Waziri Makamba. “Zingekuwa ni zile ndogo ndogo wangenipa lakini kwa sababu hii ni kubwa sana lazima utoe order, na tayari nimeshalipia kama dola 20,000 na kitu,” 


Image result for diamond platnumz
Diamond Platnumz



0 comments:

Post a Comment