Search This Blog

SportsRaw

SportsRaw

Wednesday 2 November 2016

Juma Abdul majanga

Hii si taarifa nzuri kwa kuwa, beki wa Yanga, Juma Abdul anaweza asionekane kwenye michezo ya Ligi Kuu Bara mpaka Januari, mwakani kutokana na majeraha ya nyonga yanayomsumbua kwa sasa.

Man city, Arsenal zaua

Pep Guardiola amekaribisha mchezaji mwenzake wa zamani wa Barcelona Luis Enrique  kwenye uwanja wa Etuhad jijin Manchester katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya Manchester City walikuwa wenyeji wakiwakaribisha vijana wa Catalunya Barcelona kwenye mchezo wa kundi C  na kufanikiwa kuwalaza kwa magoli 3-1 jana usiku.

De Bruyne (No 17) gives Manchester City the lead in the 51st minute, striking home an incredible free-kick

Man city waliingia wakiwa na kumbukumbu ya kichapo cha magoli 4-0 walichapata Nou camp, Barc walionekana kuanza vizuri na kufunga goili la kuongoza mpira uliowekwa kimiani na Leonel Messi akipata asisti ya Neymar.

city walirud vizuri na kuzawaisha goli hilo kupitia kwa kiungo mjerumani Ilkey Gundogan baada ya kpigiana one two na Rahim Sterling, kipindi cha pili city walifanikiwa kupata goli tena baada ya Kevin De Bruyne kufunga mpira wa adhabu ndogo na uliojaa wavuni.

Messi (No 10) strokes the ball with his left foot past City goalkeeper Willy Caballero  to give away side Barca the lead

Friday 28 October 2016

Kompany yupo Fiti, Clichy

Beki wa Manchester City Gael Clichy amesema nahodha wake Vicenty Kompany yuko fiti kabisa licha ya kukaa nje ya uwanja kwa muda mrefu na kwenye  mechi ya juzi la ligi  dhidi ya Manchester United ambayo walifungwa 1-0 goli pekee la United likifungwa na Juan Mata,

Vincent Kompany was substituted at half-time against Manchester United

Kiba: hatujashindwa,waliopata tuzo wanastahili

Staa wa Bongo fleva nchini Ali Kiba amfunguka na kuzungumzia ushiriki wa wasanii kutoka Tanzania kwenye tuzo za MTV Mama Awards 
Mkali huyo wa ngoma ya Aje  ambaye alikuwa miongoni kati ya wasanii waliotumbuiza kwenye tuzo hizo na pia aliwania tuzo ya ‘Best Collaboration’ ya wimbo wa Unconditionally Bae alioshirikiana na Sauti Sol, amesema watanzania walijitahidi lakini walizidiwa na wasanii wa nje ndiyo maana wakashindwa kutamba.

Tuesday 18 October 2016

Messi kujiunga na Man city?

Supa staa wa Fc Barcelona Lionel Messi amekaribishwa kujiunga  na Manchester City endapo atataka kuihama timu hiyo yenye maskani yake Camp Nou,hayo ni maneno ya kocha wake wa zamani Pep Guardiola ambaye kwa sasa ni kocha wa Man City.
\
Barcelona superstar Lionel Messi has been offered a move to Manchester City if he ever leaves

Kichuya mchezaji bora vpl

Mshambuliaji Shiza Kichuya wa Simba SC amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa Septemba msimu wa 2016/2017.
Image result for kichuya

Meek Mill afuta akaunti yake Istagram

Rapper Meek Mill ameungana na Justin Bieber kufuta akaunti yake katika mtandao wa Instagram.Image result for meek mill

City watua Barcelona kibishoo

 Timu ya Manchester City wametua nchini Uhispania kwa ajili ya mechi yao ya Ligi ya Mabingwa ulaya  jumatano hii city  wanaonekana kuwa na furaha chini ya Pep Guadiola ambaye anarudi  kwenye timu iliompa mafanikio akiwa kama kocha,safari hii  anarudi Nou Camp tena akiwa na City.


City manager Guardiola shares a joke with assistant coach Mikel Arteta as they arrive at Manchester Airport for their flight


wakiwa wamevalia shati, tai na jeans na raba ambazo kwa ujumla zinagharimu karibu sh. milioni 6 za kitanzania imeonekana kuwa staili ya kibishoo zaidi kuanzia kwa Guardiola na wachezaji wake cheki picha hapa
Pep Guardiola and his assistant Brian Kidd sport fashionable outfits as Manchester City fly to Barcelona ahead of their Champions League showdown on Wednesday night

Sergio Aguero arrives at Manchester Airport ahead of Manchester City's match with BarcelonaJesus Navas arrives at Manchester Airport as Manchester City fly to BarcelonaRaheem Sterling arrives at Manchester Airport ahead of Manchester City's match with Barcelona  

Monday 17 October 2016

Guardiola:bado namwamini Aguero kwenye penalti

Kocha wa Manchester City Pep Guardiola amesema bado ana imani kubwa na mshambuliaji wake Sergio Aguero licha ya ufundi wake wa kupiga penalti kupungua kwa kasi katika siku za hivi karibuni, juzi kwenye mchezo wa Epl Aguero alikosa mkawaju wa penalti dhidi ya Everton,

Sergio Aguero could have won the game by converting the second-half penalty

Mechi moja tu Omong ataweka rekod hii

Ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar juzi Jumamosi, ulimfanya Kocha wa Simba, Mcameroon, Joseph Omog kufikia mechi tisa kwenye Ligi Kuu Bara bila kupoteza na amebakiza mechi moja tu kuandikisha rekodi mpya kwenye Mtaa wa Msimbazi.

Kocha mkuu wa klabu ya Simba Joseph Omong
Ukiachilia mbali rekodi ya Patrick Phiri ya msimu wa 2009/10, aliyeipa ubingwa timu hiyo bila kupoteza, takwimu zinaonyesha tangu afanye hivyo Phiri, ni Abdallah Kibadeni Mputa pekee aliyefanikiwa kuiongoza timu hiyo kwenye mechi 10 za mwanzo bila kupoteza msimu wa 2013/14.

Mputa ambaye kwa sasa ni mshauri mkuu wa benchi la ufundi la timu ya taifa, Taifa Stars, msimu huo akisaidiana na Jamhuri Kihwelo ‘Julio’, waliiwezesha Simba kucheza mechi 10 pasipo kupoteza kabla ya kukumbana na kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Azam iliyokuwa chini ya Stewart Hall.

Iwapo Simba itafanikiwa kupata pointi dhidi ya Mbao FC kwenye mchezo ujao, basi itakuwa ni rekodi ya aina yake kwa Omog kumfikia babu Mputa aliyetimuliwa mwishoni mwa mwaka 2013 na nafasi yake kuchukuliwa na Mcroatia, Zdravko Logarusic.

Licha ya kudaiwa mchezo mmoja, lakini tayari takwimu zinambeba zaidi Omog mbele ya Mputa kwani katika mechi hizo tisa ameshinda michezo saba na sare mbili, dhidi ya JKT Ruvu (0-0) na Yanga (1-1), wakati Mputa kwenye michezo hiyo 10, alifanikiwa kushinda mitano tu na sare tano.

Msimu huo  Azam walitwaa ubingwa, Simba ilimaliza katika nafasi ya nne na pointi 38. Ilishinda michezo tisa, sare 11 na ilipoteza mechi sita. Ilifunga mabao 41 na kuruhusu mabao 27.

Simba ya Omog ipo kileleni na pointi 23, yaani pointi 15 nyuma ya pointi za jumla ilizovuna msimu wa rekodi ya Mputa, ikiwa imeshinda mechi nane, moja nyuma ya msimu wa Mputa.

Ushindi mtamu.. Ronaldo katuonyesha gari hii

Cristiano Ronaldo baada ya Ushindi mkubwa dhidi ya Real Betis wa magoli 6-1 katika La Liga huku yeye mwenyewe akifunga goli la mwisho ampiga picha na kuiposti kwnye mtandao wa Instagram akiwa amepozi kwenye  gari aina ya Lamborghini Aventado  yenye thamani ya Pauni 260,040.


Ronaldo scored Real's sixth goal of the game against Real Betis to wrap up proceedings 


Ozil amtia kiwewe Wenger

Kocha wa The Gunners Arsene Wenger amesema anaamini kuungo fundi wa Ujerumani Mesut Ozil ataendelea kuwepo katika klabu hiyo licha ya mchezaji huyu mwenye asili ya Uturuki kutaka kulipwa pauni 200,000 kwa wiki.

Arsene Wenger remains coy over Mesut Ozil's contract but says 'it's not about money'
Kocha wa Arsenal Arsene Wenger

Sunday 16 October 2016

Mmh Nick Minaj sasa..!!

Nick minaj amekuwa kivutio kikubwa hasa kwa midume iliohudhuria shoo hiyo, kutokana na kivazi alichokuwa amekitupia kilichoacha sehemu zake nyeti  zikionekana, hiyo ilikuwa kwenye shoo ya Tidal X jana usiku jijini New York.

Old friends: This year's show is a continuation of last year's Tidal X: 1020 concert, where Bey and Nicki performed on stage together

Yanga yashindwa kufurukuta

Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea leo Jumapili ya October 16 2016 katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam, mabingwa watetezi wa Ligi hiyo Dar es Salaam Young Africans walikuwa wageni wa Azam FC katika mchezo huo ambao kila timu ilihitaji pointi tatu ili ijiweke katika nafas nzuri kwenye msimamo wa ligi.

Image result for azam vs yanga leo 0-0

Harmonize Diamond Dj D Ommy washinda tuzo

Tuzo za AFRIMMA ambazo hutolewa kila mwaka kwa Waafrika mbalimbali waliofanya vizuri kwenye sekta mbalimbali hasa za burudani, zimetolewa Dallas Texas Marekani leo ambapo kwenye list yote Watanzania walioshinda ni watatu.
Image result for afrimma 2016 tanzania

Msimamo ulivyo Epl

It looked like it was going to be a stroll for Arsenal at that stage but the Welsh visitors refused to collapse at the Emirates

Samatta aikoa Genk akitokea benchi

Mtanzania Mbwana Samatta ameendelea kuwa msaada mkubwa wa timu yake ya KRC Genk baada ya kuisaidia kupata sare ya mabao 2-2 katika mechi ya Ligi Kuu Ubelgiji dhidi ya Royal Excel Mouscron.


Image result for mbwana samatta genk

Real, Atletico zafanya sherehe La Liga

Wakiwa kwenye kiwango kizuri mabingwa wa Ulaya Real  Madrid jana usiku walifanikiwa kupata ushindi dhidi ya Real Betis kwa kuifunga 1-6 ushindi huu umesitisha matokeo ya sare  nne mfululizo huku Madrid wakitandaza soka safi.

Ronaldo tries to find a route past Betis goalkeeper Antonio Adan at the Benito Villamarin

Barcelona waifanyia vibaya Deportvo 4-0 picha..

Rafinha (centre) is congratulated by Neymar (left) and Arda Turan after scoring his first
Staa wa Barcelona Neymar (kushoto) na Adan Turan wakimpongeza Rafinha katikati baada ya kufunga goli la kwanza dhidi ya Deportivo Barc alishinda 4-0


Saturday 15 October 2016

Man City wabanwa mbavu na Everton

Wakiwa nyumbani leo Etihad stadium Manchester City wameshindwa kutamba mbele ya Everton baada ya kulamishwa sare ya 1-1 lakin vijana Pep Guardiola watajilaumu wenyew kwani walifanikiwa kupata mikwaju ya penalti miwili na kuishia kukosa yote.

Lukaku broke the deadlock against the run of play with a fantastic finish across the body of Claudio Bravo

Simba wamnyoosha Kager 2-0

Simba imeendelea kuzitesa timu za ligi kuu baada ya leo kushinda 2-0 dhidi ya Kagera sugar na kufikishi pointi 23 mnyama anaendelea kubaki kileleni mwa Vpl, magoli ya Simba yaliwekwa kimiani na  Mzamiru Yasini akiunganisha mpira wa kona iliopigwa na Shiza Kichuya, kipindi cha pili Kichuya akaindikia wekundu wa msimbazi goli la pili kwa mpira wa penalti.

Image result for simba v kagera sugar 2-0 2016

Bingwa mtetezi Epl hoi, chek magoli na highlights


Image result for chelsea vs leicester 2016 3-0

Duh! Beyonce aingiza mamilion haya kwenye tour

Beyonce ameingiza zaidi ya dola milioni 256 kwenye ziara yake ya dunia ya Formation iliyoanza April 27 na kumalizika Oct. 7. Tiketi milioni 2.2 ziliuzwa.


VPL kutimua vumbi leo

Ligi Kuu Bara inatarajiwa kuendelea leo Jumamosi kwa michezo mitatu mnyama Simba anayeongoza katika msimamo wa  ligi itaikaribisha Kagera Sugar  kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Image result for chirwa yanga 2016

Balotelli akosa penalti, Nice ikishinda

Mchezaji asie ishiwa na vituko ndani ya uwanja na nje, Super Mario Balotelli amekosa penalti jana usiku wakati timu ya Nice ilopokuwa inacheza dhidi ya Lyon kwenye mchezo wa ligi 1, Nice ambao wapo katika kiwango bora waliibuka na ushindi wa 2-0

Mario Balotelli 

Usajili Simba wampa jeuri Mgosi

Meneja wa Simba ambaye pia ni straika wa zamani wa timu hiyo, Mussa Mgosi, amesema wana kila ya sababu ya kuuchukua ubingwa wa ligi kuu msimu huu, kwani wamesajili wachezaji wanaoweza kupambana.

Image result for mavugo kichuya

Lijue jengo refu kuliko yote duniani




Klopp,Henderson , Son wapata tuzo PL

Kocha wa klabu ya Jurgen Klopp ameshinda tuzo ya kocha bora wa Septemba, na Jordan Henderson ambaye ni nahodha wa Timu hiyo ameshinda goli bora la mwezi, kiungo mshambuliaji Tottenham Hotspurs Song Heung-min yeye  amepata tuzo ya mchezaji bora mwezi.


Friday 14 October 2016

Cheki msimamo wa PL

The Premier League is back! After a depressing international break here come the thrills

Messi atimiza Miaka 12 Camp Nou

Mchezaji bora mara tano wa dunia Leonel Messi kesho atatimiza miaka 12 tangu aanze kuichezea timu ya Fc Barcelona akiwa ametwa makombe 29 akiwa na Barca tangu mwaka 2004 alianza kucheza kwenye kikosi cha wakubwa chini ya kocha Frank Rijkaard.

Messi scored an excellent header against Manchester United in 2009 
Mchezaji wa Fc Barcelona Messi akifunga goli la kichwa na la kiihistoria dhidi ya Manchester United kwenye fainali ya Ligi ya Mabigwa Ulaya Barca walishinda 2-0.

Ronaldo apata tuzo mchezaji bora ulaya

Supa staa wa Real Madrid Cristiano Ronaldo ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa ligi ya mabingwa Ulaya ambayo huandaliwa na kupigiwa kura na magezeti makubwa ya Michezo Marca la nchini Uhispania na Gazzetta Dello Sport.

The Portuguese has praised Real Madrid coach Zinedine Zidane for being a good listener

Baada ya 50 Msuva ataka 100

Winga hatari watimu ya Yanga Simon Msuva juzi amefikisha magoli 50 tangu ajiunge na wanajangwani msimu wa 2013/14 alifunga goli hilo kwenye ushindi wa 3-1 dhidi ya Mtibwa Sugar amesema lengo lake ni kuhakikisha anafikisha magoli 100.

Image result for simon msuva

Ratiba ya Ligi kuu England





Image result for england premier league 2016/17

Bosi wa Everton ampiga kijembe Guardiola

Kocha wa Everton Ronald Koeman amemwagia sifa kibao bosi wa timu ya Manchester  City Pep Guardiola lakini akamtupitia kijembe kwa kumwambia kuwa anataka kutwaa ubingwa ligi kwa njia ngumu akiimanisha soka la pasi nyingi, mfumo ambao Guardiola n muumini wa falsafa hiyo.

Kocha wa Everton  Ronald Koeman( kushoto) akitoa maelekezo kwa mshambuliaji Romelo Lukaku

Thursday 13 October 2016

Alietobolewa macho apata pikipiki, bajaji na nyumba

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amekuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha vitu alivyoviahidi kwa kijana Said Ally aliyetobolewa macho maeneo ya Buguruni Sheli jijini Dar es Salaam anavipata. Alhamis hii, ametimiza yote aliyoahidi na mengine

Mixer ya mamilioni kutua ndani ya" Wasafi Record"

Mkali wa wimbo ‘Salome’ Diamond Platnumz  chibu amesema ameagiza mixer kubwa nje ya nchi ili kuboresha studio ya ‘Wasafi Records’ ambayo tayari imeshaanza kushafanya hits kadhaa ambazo zinafanya vizuri katika chati mbalimbali za muziki nchini na nje ya nchi


Image result for diamond platnumz
Diamond Platnumz

Klopp bado ni Mbabe kwa Mourinho

Kocha wa Jose Mourinho  jumatatu anakutana uso kwa uso na Jurgen Klopp katika mechi ya kukatana shoka  kati  Manchester United dhidi ya majogoo wa jiji la Anfield Liverpool ambao wapo kwenye fomu kwa sasa.

Klopp and Mourinho greet each other during 2013 Champions League semi-final in Germany

Simba Yanga wafanya kweli

Timu za Simba na Yanga jana zimefanikiwa kushinda kwenye michezo yao ya Ligi kuu ya Vodacom mnyama alicheza dhidi ya Mbeya city kwenye dimba la Sokeine Mbeya wakati Yanga wamekipiga dhidi ya mtibwa Sugar katika dimba la Uhuru jijini Dar es Salaam.Image result for yanga vs mtibwa 3-1

Chelsea wapata dili nono kutoka Nike

Klabu ya Chelsea imetangaza kuingia mkataba na kampuni ya kutengeneza vifaa vya michezo ya Nike mkataba huo wenye thamani ya Euro milioni 900 kwa miaka 15, dili hilo litaanza rasmi kutumika ujauo 2017-18.
Chelsea have agreed a £60m-per-year kit deal with Nike which will begin next season

Wednesday 12 October 2016

Cheki magoli Brazil vs Venezuela 2 0

England washindwa kutamba

Timu ya Taifa ya England imeshindwa kutamba mbele ya Solvenia baada ya kulazishwa sare ya bila kufungana kwenye mchezo wa kwania kufuzu fainali za kombe la dunia nchini Urusi 2018
Hart came to England's rescue throughout the match, with a spectacular double save the most memorable of the bunch
Kipa England Joe Hart akiokoa moja michomo ya hatari langoni kwakwe kwenye mechi dhidi Slovenia mechi hiyo iliisha kwa sare ya bila kufungana

wakiwa bila ya nahodha wao Wayne Rooney England wali ha ha kuwazui wa slovenia wasipate goli na kama sio uimara wa mlinda mlango Joe Hart stori ingekuwa nyingine

Ujerumani waendeleza ubabe

Timu ya Taifa ya Ujerumani Imefanikiwa kushinda mechi yake dhidi ya jamhuri ya Ireland ya kaskazini kwa kuichapa goli 2-0 mechi hiyo ilikuwa ya kufuzu kwa fainali za kombe la dunia 2018 nchini Urusi.

Julian Draxler lashed in a 13th-minute opener when the ball ricocheted off Gareth McAuley
Draxler akiifungia Ujerumani bao lakwanza dhidi ya Ireland ya Kaskazini 

TFF yaingilia kati swala la Yanga kukodishwa

Baada ya taarifa za Yanga kuingia mkataba wa kuikodisha timu kwa miaka kumi kwa Kampuni ya Yanga Yetu zimezidi kuchukua sura mpya ambapo licha ya baadhi ya wanachama wa klabu hiyo kupinga utaratibu uliotumika, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) nalo limetoa neno kuhusu jambo hilo

Image result for yanga logo

Juuko atua Mbeya kuongeza nguvu Msimbazi

Beki wa Simba, Juuko Murshid ametua mjini Mbeya tayari kuwavaa wenyeji Mbeya City, mchezo utakaochezwa katika uwanja wa sokoine jijini mbeya kesho

Simba tayari ipo mjini Mbeya lakini Juuko alikuwa na majukumu ya kuitumikia timu yake ya taifa ya Uganda iliyokuwa inaivaa Ghana katika mechi ya kuwania kucheza Kombe la Dunia.
Image result for juuko murshid
beki kisiki wa timu ya Simba Juuko Mushid

Tuesday 11 October 2016

Bentenke aweka rekodi apiga goli la mapema zaidi

Straika wa Timu ya Taifa ya Ubelgiji Crystal Palace Christian Benteke ameweka rekodi ya aina yake katika michuano hii ya kufuzu kombe la dunia baada ya kufunga goli la mapema zaidi kwenye ushindi wa 6-0 dhidi ya timu ya taifa ya Gibrltar alifunga goli hilo sekunde ya 8 katika mechi hiyo Benteke alipiga hat-trick
Belgium striker Christian Benteke scored the fastest ever goal in World Cup history

Pogba kaja na mtindo mpya wa nywele



Ichukue hii kama wewe unapenda "Selfie"

Wanasayansi wameonya kuwa wale ambao hupenda kujipiga selfie mara kwa mara, wana hatari ya kuwa wapweke.


Anadai inaweza kuwa ni ishara ya kuwa na matatizo kwenye mahusiano yao au tatizo la afya ya akili.
Image result for selfie

Pogba kaja na mtindo mpya wa nywele

Jangwani " ruksa" kutumia shamba la Bibi.

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) inatarajiwa kuendelea kesho Jumatano Oktoba 12, 2016 kwa michezo saba huku ule mchezo kati ya Young Africans ya Dar es Salaam dhidi ya Mtibwa Sugar ya Morogoro ukipangwa kufanyika Uwanja wa Uhuru jijini.

Image result for donald ngoma yanga

Kichuya apewa neno

Kocha Mkuu wa Simba, Mcameroon, Joseph Omog, amemtahadharisha kiungo wake mshambuliaji, Shiza Kichuya, akimwambia hatakiwi kubweteka na sifa anazoendelea kuzipata na badala yake aongeze bidii ndani ya uwanja.
Image result for kichuya simba

Kichuya ambaye ni mchezaji tegemeo kwenye timu hiyo, ameshaifungia Simba mabao matano na ndiye anayeongoza kwenye chati ya ufungaji kwenye Ligi Kuu Bara huku akikumbukwa kwa kuipa timu yake pointi tatu dhidi ya Azam FC na pointi moja kwa bao maridadi la dakika ya 87 dhidi ya Yanga.