Search This Blog

SportsRaw

SportsRaw

Thursday 7 January 2016

Simba yasafisha nyota mapinduzi cup

Michuano ya kombe la mapinduzi imeendelea kushika kasi leo katika hatua ya makundi na leo kushuhudia mchezo wa kundi A na kuzikutanisha   URA ya Uganda dhidi ya mnyama Simba, katika mechezo huo vijana wa msimbazi amefanikiwa kupata ushindi wa 1-0