Search This Blog

SportsRaw

SportsRaw

Tuesday 11 October 2016

mabigwa wa ulaya wafanya kweli tena

mabingwa wa euro timu ya taifa ya ureno hii leo tena imefanikiwa kupata ushindo  mnono wa magoli 6-0 dhidi ya Faroe Island ushind huu umekuj siku chache baada ya wikiendi kushind idadi hiyo ya magoli huku cristiano ronaldo akipiga goli nne.Andre Silva opened the scoring with a shot through the legs of Gunnar Nielsen in goal


leo ilikuwa zamu ya kinda mwenye umri wa miaka 20 Andre Silva aliefunga  hat-trick katika dk za 12" 22"37" Ronaldo 65 J. Moutinho 90" J.CanceloAt 20-years-old, Silva is certainly a player Portugal fans can be excited about for the future

Ronaldo takes a tumble under pressure from Solvi Vatnhamar but recovered unscathed 

0 comments:

Post a Comment