Beki wa Manchester City Gael Clichy amesema nahodha wake Vicenty Kompany yuko fiti kabisa licha ya kukaa nje ya uwanja kwa muda mrefu na kwenye mechi ya juzi la ligi dhidi ya Manchester United ambayo walifungwa 1-0 goli pekee la United likifungwa na Juan Mata,
alianza kwenye kikosi cha kwanza lakini kipindi cha pili hakuweza kurudi kucheza nakuacha maswali mengi Clichy amesema Kompany hajacheza kwa muda mrefu na anadhani kwa dakika alizocheza ni sahihi kwani ndo kwanza amerejea dimbani,
Baada ya kichapo hicho City kimewatoa nje ya michuano hiyo nakuwafanya kushindwa kupata ushindi mechi ya sita mfululizo ikiwa ni mara ya kwanza Pep Guardiola kupatanmatokeo mabovu katika maisha yake ya soka.

0 comments:
Post a Comment