Search This Blog

SportsRaw

SportsRaw

Wednesday 2 November 2016

Man city, Arsenal zaua

Pep Guardiola amekaribisha mchezaji mwenzake wa zamani wa Barcelona Luis Enrique  kwenye uwanja wa Etuhad jijin Manchester katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya Manchester City walikuwa wenyeji wakiwakaribisha vijana wa Catalunya Barcelona kwenye mchezo wa kundi C  na kufanikiwa kuwalaza kwa magoli 3-1 jana usiku.

De Bruyne (No 17) gives Manchester City the lead in the 51st minute, striking home an incredible free-kick

Man city waliingia wakiwa na kumbukumbu ya kichapo cha magoli 4-0 walichapata Nou camp, Barc walionekana kuanza vizuri na kufunga goili la kuongoza mpira uliowekwa kimiani na Leonel Messi akipata asisti ya Neymar.

city walirud vizuri na kuzawaisha goli hilo kupitia kwa kiungo mjerumani Ilkey Gundogan baada ya kpigiana one two na Rahim Sterling, kipindi cha pili city walifanikiwa kupata goli tena baada ya Kevin De Bruyne kufunga mpira wa adhabu ndogo na uliojaa wavuni.

Messi (No 10) strokes the ball with his left foot past City goalkeeper Willy Caballero  to give away side Barca the lead

kama hiyo haitoshi waliongeza goli la tatu lilofingwa tena Gundogun na kukatokemeza matumaini kabisa ya Barcelona kurudi kwenye game hiyo kwa matokeo hayo Barcelona inaendelea kuongoza katika misimamo wa kundi hilo wakiwa na pointi tisa na City wakiwa na saba baada ya michezo minne kila mmoja.

Gundogan (right) celebrates his second goal of the match with Kevin De Bruyne (left), in the 74th minute

Vijana wa Arsenal Wenger wameendeleza wimbi la ushindi baada ya jana kuitungua Ludogorets 3-2 magoli ya Arsenal yalifungwa na Xhaka 20, Giroud 41, Ozil 87 kwa matokeo hayoArsenal wapo nafasi ya kwanza wakiwa na Pointi 10 baada ya mechi nne na PSG wapo nafasi ya pili na pointi 10 pia wakitofautiana magoli ya kufunga na kufungwa
Striker Olivier Giroud sent Arsenal into the break on a high as his goal pulled the away side back into the game at 2-2

Ozil  lobbed Ludogorets goalkeeper Milan Borjan before rounding the No 1 and scoring their third goal late on

0 comments:

Post a Comment