Search This Blog

SportsRaw

SportsRaw

Wednesday 2 November 2016

Juma Abdul majanga

Hii si taarifa nzuri kwa kuwa, beki wa Yanga, Juma Abdul anaweza asionekane kwenye michezo ya Ligi Kuu Bara mpaka Januari, mwakani kutokana na majeraha ya nyonga yanayomsumbua kwa sasa.

Man city, Arsenal zaua

Pep Guardiola amekaribisha mchezaji mwenzake wa zamani wa Barcelona Luis Enrique  kwenye uwanja wa Etuhad jijin Manchester katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya Manchester City walikuwa wenyeji wakiwakaribisha vijana wa Catalunya Barcelona kwenye mchezo wa kundi C  na kufanikiwa kuwalaza kwa magoli 3-1 jana usiku.

De Bruyne (No 17) gives Manchester City the lead in the 51st minute, striking home an incredible free-kick

Man city waliingia wakiwa na kumbukumbu ya kichapo cha magoli 4-0 walichapata Nou camp, Barc walionekana kuanza vizuri na kufunga goili la kuongoza mpira uliowekwa kimiani na Leonel Messi akipata asisti ya Neymar.

city walirud vizuri na kuzawaisha goli hilo kupitia kwa kiungo mjerumani Ilkey Gundogan baada ya kpigiana one two na Rahim Sterling, kipindi cha pili city walifanikiwa kupata goli tena baada ya Kevin De Bruyne kufunga mpira wa adhabu ndogo na uliojaa wavuni.

Messi (No 10) strokes the ball with his left foot past City goalkeeper Willy Caballero  to give away side Barca the lead