Nick minaj amekuwa kivutio kikubwa hasa kwa midume iliohudhuria shoo hiyo, kutokana na kivazi alichokuwa amekitupia kilichoacha sehemu zake nyeti zikionekana, hiyo ilikuwa kwenye shoo ya Tidal X jana usiku jijini New York.
Minaj ambaye kwa sasa anatoka na Rapa abaye yupo kwenye listi ya wasanii wa lebo ya Maybach Music Group MMG chini Rick Ross Meek Mill aliva nguo nyeusi ilionyesha nguo yake ya ndani na kifuani akawa ameziba kidogo tu na kuacha sehemu ya kifua kuwa wazi
kwenye shoo pia minaj wakati anaimba alibadili vazi ambalo kwa kiasi kidog kiwalo hicho kilisitiris ehemu zake nyeti,Pia alipafom na wasanii wengine wakubwa kama Beyonce Alicia Keys Robin Thicke Common na wengine


0 comments:
Post a Comment