Search This Blog

SportsRaw

SportsRaw

Tuesday, 10 October 2017

Washambuliaji Jangwani hali tete

Wakati mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania bara Yanga wakihaha kujianda na mcheo wa ligi  dhidi ya Kagera Sugar inayosusua majeruhi wameendea kuipa homa benchi la ufundi kutokana na kuongezeka kwa maheruhi hasakwenye safu ya ushambuliaji inayoonekana kuwa butu msimu h...

Crouch atinga Guiness world Record

Mshambuliaji wa klabu ya Stoke ya England Peter Crouch ameingizwa kwenye kitabu cha rekodi za dunia cha Guinness World Records cha mwaka 2018 kwa kufunga mabao mengi zaidi kwa kichwa Ligi ya kuu ya soka ya England...

Magoli bora kufuzu kombe la dunia ulaya

...

Wednesday, 2 November 2016

Juma Abdul majanga

Hii si taarifa nzuri kwa kuwa, beki wa Yanga, Juma Abdul anaweza asionekane kwenye michezo ya Ligi Kuu Bara mpaka Januari, mwakani kutokana na majeraha ya nyonga yanayomsumbua kwa sasa...

Man city, Arsenal zaua

Pep Guardiola amekaribisha mchezaji mwenzake wa zamani wa Barcelona Luis Enrique  kwenye uwanja wa Etuhad jijin Manchester katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya Manchester City walikuwa wenyeji wakiwakaribisha vijana wa Catalunya Barcelona kwenye mchezo wa kundi C  na kufanikiwa kuwalaza kwa magoli 3-1 jana usiku. Man city waliingia wakiwa na kumbukumbu ya kichapo cha magoli 4-0 walichapata Nou camp, Barc walionekana kuanza vizuri...

Friday, 28 October 2016

Kompany yupo Fiti, Clichy

Beki wa Manchester City Gael Clichy amesema nahodha wake Vicenty Kompany yuko fiti kabisa licha ya kukaa nje ya uwanja kwa muda mrefu na kwenye  mechi ya juzi la ligi  dhidi ya Manchester United ambayo walifungwa 1-0 goli pekee la United likifungwa na Juan Mata,...

Kiba: hatujashindwa,waliopata tuzo wanastahili

Staa wa Bongo fleva nchini Ali Kiba amfunguka na kuzungumzia ushiriki wa wasanii kutoka Tanzania kwenye tuzo za MTV Mama Awards  Mkali huyo wa ngoma ya Aje  ambaye alikuwa miongoni kati ya wasanii waliotumbuiza kwenye tuzo hizo na pia aliwania tuzo ya ‘Best Collaboration’ ya wimbo wa Unconditionally Bae alioshirikiana na Sauti Sol, amesema watanzania walijitahidi lakini walizidiwa na wasanii wa nje ndiyo maana wakashindwa kutamba....