Search This Blog

SportsRaw

SportsRaw

Tuesday 10 October 2017

Washambuliaji Jangwani hali tete







Wakati mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania bara Yanga wakihaha kujianda na mcheo wa ligi  dhidi ya Kagera Sugar inayosusua majeruhi wameendea kuipa homa benchi la ufundi kutokana na kuongezeka kwa maheruhi hasakwenye safu ya ushambuliaji inayoonekana kuwa butu msimu huu
.

Amis Tambwe amekuwa majeruhi na hajacheza mechi hata moja msimu huu baada ya kupata maumivu ya goti, Donald Ngoma nae amezidisha  hofu baada ya kuumia nyama za paja na kiungo fundi raia wa Zimbabwe Kamusoko kuumia.


kocha msaidizi na mchezaji wa zamani Shadrack Nsajigwa amekiri safu ya ushambuliaji kukiumiza kikosi chao hasa kutokana na majereruhi licha ya kusajiliwa kwa Ibrahimu Ajibu kutoka kwa Mtani wa jadi Simba bado eneo la umaliziaji limekuwa tatizo.

Obray Chirwa nae anaonekana kutokuwa katika kiwango cha msimu uliopita huku pengo la Simon msuva linaonkana bado halijipata mt sahihi mpka sasa, Nsajigwa ameahidi benchi lao la ufundi kulifanyia kazi na kupachika magol mengi kama msimu uliopita.

0 comments:

Post a Comment