
Ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar juzi Jumamosi, ulimfanya Kocha wa Simba, Mcameroon, Joseph Omog kufikia mechi tisa kwenye Ligi Kuu Bara bila kupoteza na amebakiza mechi moja tu kuandikisha rekodi mpya kwenye Mtaa wa Msimbazi.
Kocha mkuu wa klabu ya Simba Joseph Omong
Ukiachilia mbali rekodi ya Patrick Phiri ya msimu wa 2009/10, aliyeipa ubingwa timu hiyo bila kupoteza, takwimu zinaonyesha tangu afanye hivyo Phiri, ni Abdallah...