Search This Blog

SportsRaw

SportsRaw

Wednesday, 12 October 2016

Juuko atua Mbeya kuongeza nguvu Msimbazi

Beki wa Simba, Juuko Murshid ametua mjini Mbeya tayari kuwavaa wenyeji Mbeya City, mchezo utakaochezwa katika uwanja wa sokoine jijini mbeya kesho

Simba tayari ipo mjini Mbeya lakini Juuko alikuwa na majukumu ya kuitumikia timu yake ya taifa ya Uganda iliyokuwa inaivaa Ghana katika mechi ya kuwania kucheza Kombe la Dunia.
Image result for juuko murshid
beki kisiki wa timu ya Simba Juuko Mushid
“Kweli Juuko ameshatua na ameungana na wenzake na leo tutafanya naye mazoezi mepesi,” kilieleza chanzo ndani ya Simba.

Simba imekuwa ikiendelea na maandalizi yake vizuri kujiandaa kuivaa Mbeya City ambayo inaonekana kuupania mchezo huo.
 , Juuko Murshid ametua mjini Mbeya tayari kuwavaa wenyeji Mbeya City, kesho.

Simba tayari ipo mjini Mbeya lakini Juuko alikuwa na majukumu ya kuitumikia timu yake ya taifa ya Uganda iliyokuwa inaivaa Ghana katika mechi ya kuwania kucheza Kombe la Dunia.

“Kweli Juuko ameshatua na ameungana na wenzake na leo tutafanya naye mazoezi mepesi,” kilieleza chanzo ndani ya Simba.

Simba imekuwa ikiendelea na maandalizi yake vizuri kujiandaa kuivaa Mbeya City ambayo inaonekana kuupania mchezo huo.

simba inaongoza katika msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom na kessho itakuwa na kibarua kigumu cha kusaka pointi ili kuendelea kubaki kileleni

0 comments:

Post a Comment