Mchezaji bora mara tano wa dunia Leonel Messi kesho atatimiza miaka 12 tangu aanze kuichezea timu ya Fc Barcelona akiwa ametwa makombe 29 akiwa na Barca tangu mwaka 2004 alianza kucheza kwenye kikosi cha wakubwa chini ya kocha Frank Rijkaard.
![]() |
Mchezaji wa Fc Barcelona Messi akifunga goli la kichwa na la kiihistoria dhidi ya Manchester United kwenye fainali ya Ligi ya Mabigwa Ulaya Barca walishinda 2-0. |
Ilikuwa Octoba mwaka 2004 kocha alipomnyanyua kijana alivalia jezi namba 30 mgogoni alikuwa Messi akichukua nafasi ya Deco katika game hiyo dhidi ya Espanyol.
mwezi mei mwaka 2005 messi hawezi kusahau ndio siku alliofungua akaunti yake ya magoli baada ya kupachika goli safi akimalizia basi ya fundi kutoka Brazil Ronaldinho Gaucho ilikuwa mechi dhidi ya Albacete.

baada ya hapo messi ameendelea kutesa timu pinzani na kuwa mchezaji muhimu ndani barcelona ameshinda La Liga mara 8, Copa del Rey 4, Spanish Super Cup 7, Champions League 4, Super Cup 3, Club World Cup 3
![]() |
Lionel Messi akiwatoka wachezaji wa Arsenal katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya mechi iliochezwa kwenye uwanja wa Camp Nou Messi alifunga hat-trick katika mechi hiyo. |
0 comments:
Post a Comment