Search This Blog

SportsRaw

SportsRaw

Tuesday, 18 October 2016

Meek Mill afuta akaunti yake Istagram

Rapper Meek Mill ameungana na Justin Bieber kufuta akaunti yake katika mtandao wa Instagram.Image result for meek mill

meek-mill-bb23-2015-billboard-03-650
Tukio hilo limetokea usiku wa Jumatatu hii huku chanzo cha kufuta akaunti hiyo bado hakijajulikana. Baadhi ya mashabiki wamedai kuwa hiyo ni kiki ya kutaka kuteka vichwa vya habari kwa kuwa hivi karibuni anatarajiwa kuachia mixtape yake ya Dreamchasers 4 (DC4).
Wapo wanaodai kuwa ameamua kufanya hivyo kwa ajili ya kujiweka mbali na mitandao ya kijamii kutokana na hivi karibuni amekuwa akitupiana matusi na maneno ya kashfa na baadhi ya watu akiwemo The Game kwenye mtandao huo.

0 comments:

Post a Comment