Timu ya Manchester City wametua nchini Uhispania kwa ajili ya mechi yao ya Ligi ya Mabingwa ulaya jumatano hii city wanaonekana kuwa na furaha chini ya Pep Guadiola ambaye anarudi kwenye timu iliompa mafanikio akiwa kama kocha,safari hii anarudi Nou Camp tena akiwa na City.
wakiwa wamevalia shati, tai na jeans na raba ambazo kwa ujumla zinagharimu karibu sh. milioni 6 za kitanzania imeonekana kuwa staili ya kibishoo zaidi kuanzia kwa Guardiola na wachezaji wake cheki picha hapa
0 comments:
Post a Comment