Beyonce ameingiza zaidi ya dola milioni 256 kwenye ziara yake ya dunia ya Formation iliyoanza April 27 na kumalizika Oct. 7. Tiketi milioni 2.2 ziliuzwa.
Kwa mujibu wa Billboard, kila show iliingiza wastani wa dola milioni 5.2 na kuhudhuriwa na watu 45,757. Show iliyoingiza fedha nyingi zaidi ni ya London kwenye uwanja wa Wemble uliopo nchini Uingereza July 2-3, ambapo Queen Bey aliingiza dola milioni $15.3 kwa kuuza tiketi 142,5000.
Kwa upande wa Marekani, show ya New York ndiyo iliingiza fedha nyingi zaidi, $11.5m kwa tiketi 73,486 kwenye show mbili.
0 comments:
Post a Comment