Timu ya Taifa ya Ujerumani Imefanikiwa kushinda mechi yake dhidi ya jamhuri ya Ireland ya kaskazini kwa kuichapa goli 2-0 mechi hiyo ilikuwa ya kufuzu kwa fainali za kombe la dunia 2018 nchini Urusi.
![]() |
Draxler akiifungia Ujerumani bao lakwanza dhidi ya Ireland ya Kaskazini |
Magoli ya Ujerumani yaliwekwa kambani na Julian Draxler kunako dakika ya 13' na goli la kufungwa na kiungo mkabaji wa Jevuntus Sami Khedira dakika ya 17, huu ni ushindi wa tatu mfululizo kwa Ujerumani wakiwa hawajaruhusu wavu wao kuguswa.
![]() |
Draxler akishangilia goli |
0 comments:
Post a Comment