Kocha wa klabu ya Jurgen Klopp ameshinda tuzo ya kocha bora wa Septemba, na Jordan Henderson ambaye ni nahodha wa Timu hiyo ameshinda goli bora la mwezi, kiungo mshambuliaji Tottenham Hotspurs Song Heung-min yeye amepata tuzo ya mchezaji bora mwezi.

Goli aliwafunga Chelsea limemfanya kiungo mkabaji wa Liverpool kushinda tuzo ya goli bora la mwezi.
Majogoo wa Jiji wamepanda hadi nafasi ya nne katika msimamo wa ligi baada ya kupata ushindi mara tatu mfululizo 4-1 dhidi ya bingwa mtetezi Lecester ci ty, 2-1 darajani dhidi ya Chelsea, na kuibamiza 5-1 Hull City
The Reds wanajiandaa kuikaribisha Manchester United jumatatu kwenye dimba la Anfield mechi ambayo inasubiriwa kwa na mashabiki wa soka duniani kote
 |
Nahodha wa Liverpool Jordan Henderson akiwa amepozi na tuzo ya goli bora mwezi Septemba
|
Son ameisadia Tottenham kushinda akichezeshwa kama mshambuliaji wa kati akiziba pengo la Harry Kane ambae ni majeruhi, ameonyesha kiwango kizuri akifunga magoli manne mwezi Septemba
 |
Son akionyesha tuzo ya mchezaji bora wa mwezi |
0 comments:
Post a Comment