Klabu ya Chelsea imetangaza kuingia mkataba na kampuni ya kutengeneza vifaa vya michezo ya Nike mkataba huo wenye thamani ya Euro milioni 900 kwa miaka 15, dili hilo litaanza rasmi kutumika ujauo 2017-18.

Mkataba huo kwa mwaka utakuwa na thamani ya euro 60 kwa mwaka hili ni dili kubwa ukilinganisha na Euro 30 ambazo kampuni ya Adidas inatoa kwa timu ya chelsea mkataba huu unaifanya chelsea kuingia katika rekodi kwani hajaiwahi kupata mkataba mnono kama huu.
Nike watapata fursa ya kutengeneza jezi za timu ya wakubwa na vijana na timu ya wanawake pamoja na kutengeneza jezi za mazoezi.

0 comments:
Post a Comment