Timu ya Taifa ya England imeshindwa kutamba mbele ya Solvenia baada ya kulazishwa sare ya bila kufungana kwenye mchezo wa kwania kufuzu fainali za kombe la dunia nchini Urusi 2018
![]() |
Kipa England Joe Hart akiokoa moja michomo ya hatari langoni kwakwe kwenye mechi dhidi Slovenia mechi hiyo iliisha kwa sare ya bila kufungana |
wakiwa bila ya nahodha wao Wayne Rooney England wali ha ha kuwazui wa slovenia wasipate goli na kama sio uimara wa mlinda mlango Joe Hart stori ingekuwa nyingine
katika mchezo hou Rooney aliingia kipindi cha pili dakika ya 73 lakini bado alishinda kufanya kile ambacho watu wengi wametarijia

Enland inaendlea kubaki kileleni mwa kundiF kwa kuweka kibindoni pointi 7 wakifuatiwa na Lithuania wenye Pointi 5

0 comments:
Post a Comment