Supa staa wa Fc Barcelona Lionel Messi amekaribishwa kujiunga na Manchester City endapo atataka kuihama timu hiyo yenye maskani yake Camp Nou,hayo ni maneno ya kocha wake wa zamani Pep Guardiola ambaye kwa sasa ni kocha wa Man City.
\
Najua anataka kumaliza maisha yake ya soka ndani ya Barca lakini ikitokea atapenda kuondoka nadhani atapenda watoto wake kujifunza kiingereza namkaribisha city, sio rahisi kuondoka lakini wakati mwingine huwa alisema Guardiola.
Messi kesho atavaana na kocha wake zamani kwenye mechi ya ligi ya mabingwa mechi itachezwa kwnye dimba la Nou camp.
0 comments:
Post a Comment