Cristiano Ronaldo baada ya Ushindi mkubwa dhidi ya Real Betis wa magoli 6-1 katika La Liga huku yeye mwenyewe akifunga goli la mwisho ampiga picha na kuiposti kwnye mtandao wa Instagram akiwa amepozi kwenye gari aina ya Lamborghini Aventado yenye thamani ya Pauni 260,040.
magoli wawili ya Isco, Varane Benzema Marcelo na Ronaldo yaliisaidia Madrid kuzima jinamizi la sare walizokuwa wanazipata na wanakabana koo na Atletico Madrid kileleni mwa La Liga wakitofautiana magoli ya kufungwa na kufunga.
ronaldo ameonyeshwa kufurahishwa na ushindi huo na kuamua kutupia picha hiyo kwenye mtandao wa Instagram ambao ana follewers milioni 79 .
0 comments:
Post a Comment