Kocha wa Manchester City Pep Guardiola amesema bado ana imani kubwa na mshambuliaji wake Sergio Aguero licha ya ufundi wake wa kupiga penalti kupungua kwa kasi katika siku za hivi karibuni, juzi kwenye mchezo wa Epl Aguero alikosa mkawaju wa penalti dhidi ya Everton,
bado namwamini na hata ikitokea tukapata penalti bado mshambuliaji huyo wa Argentina ndiye mwenye jukumu hilo, katika mchezo wa jumamosi Man city walikosa nafasi mbili za kufunga baada ya Aguero na Kevin De Bruyne walishinda kufunga na kusababisha timu hiyo kulazimishwa sare ya 1-1 mechi iliochezwa katika dimba la Etihad,
Msimu huu city wamepata mikwaju ya Penalti nane na kati hiyo wamekosa mikwaji minne mbili dhidi ya Everton na mbili dhidi Steaua Bucharest, Manchester City watavaana na Barcelona katika mechi ya Ligi ya Mabigwa hatua ya makundi Jumatano.
0 comments:
Post a Comment