Straika wa Timu ya Taifa ya Ubelgiji Crystal Palace Christian Benteke ameweka rekodi ya aina yake katika michuano hii ya kufuzu kombe la dunia baada ya kufunga goli la mapema zaidi kwenye ushindi wa 6-0 dhidi ya timu ya taifa ya Gibrltar alifunga goli hilo sekunde ya 8 katika mechi hiyo Benteke alipiga hat-trick
Ubelgiji inaoongoza msimamo wa kundi H kwa kuwa na pointi 9 baada ya mechi tatu, magoli mengine yalipachikwa na Witsle 19",Mertnes 51" na Eden Hazard 59
0 comments:
Post a Comment