Simba imeendelea kuzitesa timu za ligi kuu baada ya leo kushinda 2-0 dhidi ya Kagera sugar na kufikishi pointi 23 mnyama anaendelea kubaki kileleni mwa Vpl, magoli ya Simba yaliwekwa kimiani na Mzamiru Yasini akiunganisha mpira wa kona iliopigwa na Shiza Kichuya, kipindi cha pili Kichuya akaindikia wekundu wa msimbazi goli la pili kwa mpira wa penalti.
Matokeo mengine
JKT Ruvu 1-1 MwaduiStand United 1-1 African Lyon
0 comments:
Post a Comment