
Beki wa Manchester City Gael Clichy amesema nahodha wake Vicenty Kompany yuko fiti kabisa licha ya kukaa nje ya uwanja kwa muda mrefu na kwenye mechi ya juzi la ligi dhidi ya Manchester United ambayo walifungwa 1-0 goli pekee la United likifungwa na Juan Mata,...