Nahodha ya timu ya tifa ya England Wayne Rooney hataanza katika kikosi cha kwanza kitakacho anza dhidi ya Slovenia katika mechi za kufuzu kombe la dunia 2018 nchini Urusi.
Rooney ameanza vibaya msimu huu katika kablu ya Manchester united kwa kucheza chini ya
kiwango na kocha jose mourinho kuamua kufanya maamuz magumu ya kumpiga benchi nahodha wake huyo
Katika medhi iliochezwa jumapili wazza alizomewakutokan na kuonyesha kiwango kibovu katika ushidi wa 2-0 dhidi ya Malta.
Kocha wa muda wa England Gareth Southgate ameamua kulinda heshima ya rooney kwa kumpiga benchi kuliko kupata aibu ya kuzomewa na mashabiki
0 comments:
Post a Comment